Up next

Madini Classic - Bingo Bango (Official Music Video)

2 Views· 07/03/24
admin
admin
Subscribers
0
In Music

#MadiniClassic #swahilimusic #hatawanifungeminyororo
Lyrics


Mapenzi majani inaota kokote
So i swear my darling nimeze nipotee
Si unajua nakujali nipate nikose
Nisipokuona silali mpaka nilewe nizime

Chumvi yenye ladha yake nikukose nilale njaa
Dakitari mwenye tiba zake usiniache na majeraha
Marashi yenye harufu yake nikukose nipate uvundo
Ndege mwenye rangi yake upotee nikose raha

"Mtamu kama chokoleti.. (ehee!)
laini sema spaghetti...... (ehee!)
hapendi uchokozi eti toto mwenye mwanya kama Lacey"

(chorus)
(Bingo Bango Bingo Bango
katoto mtambo toto mango
lingo lingo lingo lingo mama
kukuwacha ndio siwezi x2)

(Verse 2)
Hata watuseme vibaya mi na we hatuachani
Kipenzi changu usione haya hii ni true love wala si utani
Kwako ndio makazi yangu
(kipendacho roho nishakula nyama mbichi)
Kwako ndio makazi yangu
(tausi njoo nyumbani kwichikwichi)
Hata wanifunge minyororo kwako bado nitasema yes ido
Hata wakutukane kiporo ladha yako bado naipenda tu

"Mtamu kama chokoleti.. (ehee!)
laini sema spaghetti...... (ehee!)
hapendi uchokozi eti toto mwenye mwanya kama Lacey"

(chorus)
(Bingo Bango Bingo Bango
katoto mtambo toto mango
lingo lingo lingo lingo mama
kukuwacha ndio siwezi x2)

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next